simanzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake...
  2. Bams

    Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  3. Mpwayungu Village

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  4. mdukuzi

    Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

    Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata. Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli...
  5. ndege JOHN

    2024 mwaka wa simanzi na masononeko

    Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa Gaza na duniani inashuhudia kabisa halafu watu wako busy na maisha yao yaani ubinafsi wa hali ya...
  6. gstar

    Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

    Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
  7. Tajiri wa kusini

    Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
Back
Top Bottom