Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like.
kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya...
Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club.
Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
Kuna watu wanadai Simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta Mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa ulikua siyo mda mwafaka kuleta kocha katikati ya msimu wakati timu ilikua nzuri.
Yote kwa yote hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.