Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa.
Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa.
Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya...
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa...
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.
Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wapi?
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024
Ndugu zangu Watanzania,
Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye amepiga simu kwa...
Kwenye Michezo, ikiwemo soka ndiyo sehemu pekee wanapokutana watu wa Itikadi Tofauti, wanaweza kuwa Chama kimoja cha Siasa lakini wakakutana uwanjani wakiwa Timu tofauti, Na waweza kuwa Mahasimu kisiasa lakini wakawa wanashabikia timu moja. Hii ni kwa sababu Michezo haihusiani na Siasa wala...
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.
Kaa nami katika uzi huu upate update ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.