Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly.
Je mmesahau kuwa Kocha Robertinho aliifunga Yanga Sc akiwa na Vipers sc na timu ya Simba sc...