Kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki wa Simba wamelalamikia Penalty wanayo dai kunyimwa dakika za majeruhi katika mechi ya 8/8 /2024.
Ukiangalia kupitia marudio ya television Ule mpira wa kross uliopigwa kuelekea langoni mwa Yanga dakika za majeruhi na kusababisha baadhi ya mashabiki wa Simba...