simba lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Lissu: Rais Samia hajakosea kuniita Simba

    Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao. Amesema kwamba babu...
  2. L

    Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  3. N

    Pre GE2025 Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu

    "Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia Soma...
  4. S

    Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

    Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana. Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu. Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila...
Back
Top Bottom