I salute you kinsmen
Hivi mnajua kuwa haijawahi kutokea Simba mbovu kuliko Hii ya leo?
Yaani haina tofauti na mbwinde fc ya kwetu kilimagohe kimbiji.
Nachelea kusema wale Gaborone ni kwamba walikuwa wabovu tu nao licha ya kutandaza mpira mwingi sana kama wao ndio wapo nyumbani na hata...