Klabu ya Simba ambayo ipo nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya 2024/25, leo Julai 14, 2024 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tersana FC inayoshiriki ligi daraja la pili Misri na kuambulia kichapo cha goli 6-2.
Mchezo huo ambao ulikuwa na lengo la kujaribu kikosi chao...