Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho)
1. Simba bado Haina mshambuliaje wa kumtegemea ... Hii inafanya makolo wacheze soka la kubutua butua .... that's y they end with no any shots...