Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al...
Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine,
Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata,
Timu yenye hadhi inayolipatiaga taifa heshima. Nawaomba sana tumpe heshima Aishi Manula
Aishi Manula ameitoa Simba mbali sana.
Huyu...
1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez
2. Che Malone ameanza kutupanda kichwani, yeye na Hamza uchezaji wao uko slow sana na kama tungecheza na timu kubwa kama...
Hatimaye klabu ya simba yafuzu kombe la mbumbumbu walioferi aisee kweli mwaka huu Kuna vichekesho wenzao yanga wapo klabu bingwa ya mabingwa wao wamefuzu kombe la walioferi wanashangilia kama wamechanganyikiwa Fulani hivi haya fikeni fainali Hilo kombe la walioferi maana ndio kipimo hongereni...
Match Day.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu!
Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais...
Nimejiuliza sanasanaa
Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika.
Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya.
Cc
Okwi b mpwaaaa.
Soma...
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
Wapinzani wa Simba SC, Al-Ahli Tripoli kutoka Lybia, wamewasili nchini na tayari wameshuka kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na Bordguards kibao. Timu hiyo inajiandaa kukabiliana na Simba SC katika mechi ya marudio itakayochezwa Jumapili, Septemba 22, katika Dimba la...
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.
kwa mfano :
fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??
a) Mangungu
b) Fadlu
c) Timu
Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila 😂.
Maana mchawi lazima apatikane...
Kucheza ugenini uwanja ukiwa full house kama ilivyokuwa juzi kule Tripoli, Libya, kwanza ni exposure kubwa kwa wachezaji wa Simba ambao hawana experience ya kutosha kwenye mechi za kimataifa, hasa kucheza kwenye mazingira yasiyo rafiki kama yale. Kina Ahoua, Balua, Kagoma na wengine walikuwa...
I will be short
Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home.
Simba had a bad game. Imagine:
1. Zero shots on target.
2. Low ball possession.
3. Outrun.
4. Outperformed.
5. Referee...
Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa...
Uchambuzi wangu
Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati.
Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli...
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo.
Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya mpira wa Tanzania hatua ya mtoano, hakujawahi kutokea timu ya Tanzania kuanzia ugenini dhidi ya timu...
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.
Soma Pia:
Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio...
Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.