simba sc vs cs sfaxien

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufafanuzi: Simba wamemfunga mwarabu toleo la mwisho

    Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao ..... Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu
  2. Leo ni gusa anguka, tupate penati, tutegemee lolote

    I salute you, kinsmen, kwa jina la “Gusa Achia Twende Kwao. Baada ya jana wanaume kufanya kazi ya kiume na kuheshimisha nchi kwa pira “Gusa Achia Twende Kwao,” sasa leo tutashuhudia wale wavuta bange wa Kariakoo wakikatika mauno huko Uarabuni. Tegemea yafuatayo: 1. Gusa, anguka, tupate...
  3. Elia Mpanzu ni rasmi kuitumikia Simba kwenye michuano ya kimataifa, kuanza na CS Sfaxien Jumapili hii

    Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumuingiza winga wake mpya, Elie Mpanzu, kwenye mfumo wa usajili wa CAF, hatua inayomruhusu kuichezea timu hiyo katika mechi za Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Kwa mujibu wa taarifa, Simba SC imepata leseni ya Mpanzu baada ya kumjumuisha kwenye usajili...
  4. Rais Samia awapongeza Simba kwa kuichapa CS Sfaxien, "Simba mnaendelea kutupa furaha"

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika. Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili Desemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam ambapo Simba imeshinda kwa mabao 2-1. Pia, Soma: Full Time: Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…