simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

    Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
  2. Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

    Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
  3. D

    Hakuna timu CAF ya kuitoa Simba makundi Wala robo fainali

    I will be short a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams. Simba has bigger budget. bigger fan base. bigger presence, no hard feelings but Simba will win almost all game in that group. am rooting for...
  4. Hivi CAF wanajua kwa huku Tanzania tukio la kupanga makundi tu limekuwa ni habari ya kitaifa?

    Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli. Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup. Hii nchi watu wanapenda mpira kuliko chochote nadhani serikali ifanye jambo kuifanya Tanzania kuwa kama...
  5. K

    Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

    Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi. Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
  6. Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  7. Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  8. Kati ya Simba SC na CRDB Plc ni ipi inafaidika na udhamini?

    Salaam Big thinkers Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali. 1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black. 2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo...
  9. SAIKOLOJIA YA SOKA: Usajili wa Elias Mpanzu Simba SC ni usajili wa kisiasa ili kuwapumbaza mashabiki na wanachama kuficha makosa, Mpanzu ni Garasa

    Kama kawaida wakuu. Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani. Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu. Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
  10. Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  11. Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  12. Haya ni maoni yangu kama mpenzi wa Simba: Ahmed Ally hatufai, anaichomesha timu

    Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote. Hana bahati na Simba.
  13. Mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe

    Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂 Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe" Yana anasema Viongozi wa wajibike...
  14. Simba SC yapewa ONYO na BMT kuhusu uvunjanji wa Katiba na Uongozi mbovu

  15. L

    Mambo 15 ya Kuwashauri Viongozi wa Simba baada ya kuambulia Sare vs Coastal Union Leo

    Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba 1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo 2. ⁠Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu 3. ⁠Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio...
  16. Baada ya kufanya mazoezi KMCC, Simba imeanza kufeli

    Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao. Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na speed kali ya kutia watu dozi kubwa katika uwanja huo,utopolo nao wakaenda kufanya mazoezi hapo jambo...
  17. Mgunda alishindaje gemu zake na akina Chasambi na Kabaraka. Tena bila upendeleo. Huyu ana Mavambo, Ahoua, Ateba anawaua na refa lakini wapi

    Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu. hamtaki onana, fred na mh. Hilo linauzi mnooo. Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
  18. Anayefahamu kwanini Lamek Lawi hakuwa sehem ya Mchezo wa leo dhidi ya Simba

    Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi). Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha Coastal union kilicho Cheza Mchezo Wa Leo Dhidi ya Simba. Soma Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck...
  19. L

    Kwanini timu żenye udhamini wa GSM zinaisumbua sana Simba?

    Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana. Hawa Coastal wachovu nao eti wamedinda, sio wao ni wale wauza magodoro mipango yao imefanikiwa leo na itaendelea kufanikiwa...
  20. Simba SC siyo timu ya kuiamini

    Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi, Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno. Hata dabi ya October 19 nina wasiwasi inaweza kuahirishwa tofauti na hapo Simba inaweza kuchapwa kwa mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…