simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli lazima usemwe kesho Simba SC hamtoki salama

    Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke Yellow national πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’› Cc ephen_
  2. Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

    Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie...
  3. Eli Sasii ni bonge la Mwamuzi ila ana matatizo makubwa mawili ambayo kakataa kabisa kuyaacha

    1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao) 2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli) 3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka lawama kwa Kote ambako amekinga Na najua Mechi ya Kesho kwa tabia zake tajwa hapa juu iwe isiwe...
  4. Kocha Gamondi: Hatuwajui sana Simba mpya na hawajacheza mechi za wazi kama sisi

    Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna...
  5. Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
  6. Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
  7. Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
  8. Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

    Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake. Kwa kikosi hiki...
  9. Siyo maneno yangu Gentamycine mwana Simba SC bali ni maneno ya Mchambuzi Oscar Oscar na mwana Yanga SC Mwenzenu

    "Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania. Imeisha hiyo. Kudadadeki. Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
  10. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba Sports Club kuelekea mechi ya tarehe 8 Agosti 2024 dhidi ya Yanga

    1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo kupitia milango mingine mbali na ule wanaotakiwa kupitia wachezaji. Kuna mawasiliano huwa yanafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…