Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana.
2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu.
Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
1. Ayub Lakred
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Che Malone Fondo
5. Henock Inonga
6. Babacar Mtu Chuma
7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra
8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
9. Saido Ntibanzokinza
10. Clatous Chama
11. Luis Jose Miquissone
Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs mamelody
Ft so far naiona drw dk 90
Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw
Marudio kutakuwa...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.