simba vs al ahly

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  2. L

    Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

    1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana. 2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
  3. FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
  4. Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu. Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
  5. L

    Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
  6. Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    1. Ayub Lakred 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Che Malone Fondo 5. Henock Inonga 6. Babacar Mtu Chuma 7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra 8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 9. Saido Ntibanzokinza 10. Clatous Chama 11. Luis Jose Miquissone Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
  7. Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

    Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea Mechi ya SIMBA vs Al AHLY SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu. Pona ya SIMBA kudrw ni Red card.... Yanga vs mamelody Ft so far naiona drw dk 90 Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw Marudio kutakuwa...
  8. Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
  9. G

    Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…