simba vs azam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu

    Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa. Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila...
  2. M

    Fadlu mpira ni dk 90 badala ya kuhimiza umakini kwa wachezaji wako wewe unahimiza mashabiki washangilie ushindi na dakika bado kuisha!

    Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi. Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa...
  3. M

    Wana Simba tusikate tamaa timu iko vitani bado

    Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo aingie, sijui Ahoua hana uwezo wa kuwa MVP anacheza slow sana, maneno kibao baada ya sare ya leo...
  4. Baada ya kusikiliza mameneja habari wa Aazam na Simba nimeamini kesho ni mechi kati ya fatu na fetty

    Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri. Mnaobeti kazi kwenu. Hamtafundishwa kila kitu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…