simba vs fountain gate

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Camara nae apewe maua yake..Hili goli sawa na goli la Yanga alilorudiaha mpira ndani..Maua yako mpendwa

    Huyu kijana ninashauri apewe maua yake Anatusaidia sana wana yanga kwa kweli Wengi mnammpigia kelele chasambii hamjaona upuuzi wa kamara alioufanya. Hakuna tofauuti na goli la yanga Yeye yuko nyuma yle mpira angeuacha ulikuwa n kona Hakukuwa na haja ya kurudisha ndan mpira kama umeshajua...
  2. M

    Presha waliyopigwa simba kwa ushindi mfululizo wa Yanga kwa 100% ndio anguko lao leo,,zilikuwa ni mbio za marathoni ili kuona nani atasalimu amri!

    Mbio hizi zilihitaji timu husika iwe Bora kweli kweli na Ichange karata zake vizuri kwenye Kila mechi ili kuweka sawa mahesabu, Timu ambayo ingeteleza kidogo tu basi ndio ingeanza kutoa fursa kwa mwenzake kuuelekea ubingwa,,yanga aliteleza kwa Azam na Tabora na amepata somo kwamba alifanya kosa...
Back
Top Bottom