1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu atakuwa upande wetu
2. Kipa wetu Camara amekamilika sana nadhan kiongozi mmoja alipomuita 3 times...