Leo, Mnyama atakuwa katika dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha Petro Atlético kutoka Angola, mchezo wa Kundi D. Mechi itaanza saa 10:00 jioni. Huu ni mchezo wa kwanza kabisa kwa timu hizi kukutana katika historia ya soka barani Afrika, licha ya mashabiki wa pande zote kutamani mara kwa mara...