Wazima kama swali linavyo uliza wakristo nitaomba majibu yenu kwanini YESU kristo aitwe Simba na si Mnyama mwingine mfano Tiger, Chui, Tembo au Nyati.
Najua humu kuna wataalam watakao tujibu kitaalam na kiimani zaidi ili iwe faida kwa wengi wasio fahamu na pengine walio kuwa wanafahamu kwa...