simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  2. JamiiForums Tanzania Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

    Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus Na mashabiki...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  4. JamiiForums Tanzania Daniel Cadena kwa alivyoshusha ubora wa makipa. Na figisu zake akibaki Simba hakuna kocha atakaetoboa pale naapa!!!...

    Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa. Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika. Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na...
  5. JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

    Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako kwenye hili ____? Chanzo Clouds Media https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
  8. JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

    ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—ข ๐—ฉ๐—œ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo: FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938) FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968) โšฝโšฝ Maulid Dilunga 18' Pen, 43' โšฝโšฝ Salehe Zimbwe 54', 89' โšฝ Kitwana Manara 86' ๐— p๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ถ: Tarehe 3 Machi 1969: Simba SC...
  9. JamiiForums Tanzania Wydad ni mamelod iliyochangamka SIMBA mjipange

    Naandika kabla ya mechi ya fainali, Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam, Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari, washambuliaji hatari mpaka kipa ni wa viwango vya SGR. Wanaweza kucheza mpira wa chini na wajuu, tena...
  10. JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Simba mnatolewa kwenye mstari na Ushabiki wa kijinga

    Kumezuka mtindo wa baadhi ya Mashabiki kujiona kwamba wao ndio Mashabiki wenye haki au bora au kindakindaki sana kuliko Mashabiki wengine. Kila jambo wao wanataka kuliongelea hata kama hawana chochote wanachofahamu kuhusina nalo. Ni ushabiki gani huu wa kushindwa kukubali timu kupoteza au...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya simba mliyoteua bado inaendelea na kazi au?

    Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale mnapopitia mshinde wenzenu wanapigilia misumari ....... msiiache hii kamamati kama mna mpango wa...
  13. JamiiForums Tanzania Robertinho: Usajili wa Simba ulikuwa mbovu

    " Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta." Robertinho via @MwanaspotiTZ
  14. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Asec ni Muhimu mno kwa simba na ni Nyumbani. Hakuna kocha mwingine kuipeleka timu zaidi ya Mgunda

    Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo. Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji. Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Simba wamalize tofauti zao, migogoro haitawasaidia

    Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach. -Hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi na Mashabiki wa Simba amkeni Mapema ZAMALEK Alianza hivihivi Ila leo kila Mtu anajipigia tu

    Habari wanajukwaa! Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu. Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokana na kelele nyingi, Simba haikuwa inacheza mpira aliokuwa anataka Robertinho

    Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo na mifumo hiyo ni sahihi au siyo wakati haijawahi kufuatwa kikamilifu. Simba ya kipindi cha Juma...
  18. JamiiForums Tanzania Sio ajabu Simba wakamrudisha Erasto Nyoni.

    Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big thinker wao wamekomalia Ushirikina, mashabiki wao wanataka viongozi wasepe, wazee wa simba wanataka...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya vyombo husika kuchunguza zile kambi za Simba nje ya nchi

    Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

    Ila kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu kingine kutoka kwa Azam FC. Hali ambayo inaweza kuzidisha Mgogoro Klabuni, Amani kutoweka ila Kubwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ