simba

  1. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba kuwasili usiku huu

    Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Giants Simba Sc kuanzia round ya kwanza CAFCL

    -Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
  4. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hawa wachezaji wa Simba ni ndugu halafu hamsemi?

    Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

  9. JamiiForums Tanzania Chama aomba kuondoka Simba SC

    Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha. Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya. My take: Kama ni kweli naona kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC namuhitaji Emanuel Gabriel Okwi Kikosini kama hamuwezi Kuongea nae nitumeni Mimi kwani nammudu na atasaini tu

    Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo. Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

    Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
  13. JamiiForums Tanzania Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

    Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga. Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga. Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili...
  14. JamiiForums Tanzania Jana nilijua SImba SC tunaenda labda Kutambulishwa Kocha Mkuu mpya au Mchezaji kumbe ni Kuonyesha tu 'Beacons' na 'Ramani' za Bunju

    Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile. Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

    ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
  17. JamiiForums Tanzania Nimemtizama huyu Mzambia Phiri anayetakiwa na Simba SC hata 50% tu ya Mkongo Mayele hajamfikia

    Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu ujao. Na nikisema kuwa fulani hafai jua 99.9% hafai Kweli na nikikuambia fulani mzuri pia niamini kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

    Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC. Chanzo: Simba SC Tanzania Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

    Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Vyanzo vyangu aminika kuwa ndiyo Simba SC watampa Kandarasi...
  20. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu mkimpa tu 'Kura' zenu Injinia Hersi Said natangaza Kuhamia rasmi Simba SC

    Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…