simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mo Dewji, Simba SC? Tanzania hamkuona post yangu mwezi uliopita kuhusu ubora wa Simba duniani?

    Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani. Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na...
  2. JamiiForums Tanzania CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  3. JamiiForums Tanzania Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Simba ya 98 kwa ubora duniani

    Sio Mimi ni priva Yaani timu 20 za epl+ 20 za Seria A + 20 za ligi 1 +20 za la liga +18 za Bundasliga =98 maanake Simba anamreplace moja hapo This is Simba ladies and gentlemen
  5. JamiiForums Tanzania NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

    Muda mchache ujao, mabingwa wa nchi Simba Sc watashuka dimbani kuwakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Benjamin Mkapa. Ungana nasi hapa kwa updates..
  6. JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaharibiwa na vilabu viwili -- Simba na Yanga

    Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi. Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine. Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

    Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
  8. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

    Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, . kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
  9. JamiiForums Tanzania Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

    Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Source: Bodi ya Ligi
  10. JamiiForums Tanzania Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

    Salam kwenu wanaJf Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu yalibahatika kuona yafuatayo Simba sc Ndani ya kikosi Cha Simba sc ambae alikua mwenyeji wa mchezo...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti niliyoiona kati ya Chama wa Simba SC na Aucho wa Yanga SC ni hii tu ifuatayo

    Chama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata Kiu upesi huku Aucho akiwa ni sawa na Maji yanayokata Kiu na Kuimarisha pia Afya yako. Wote Wawili...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

    Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo. Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
  15. JamiiForums Tanzania Nmeona kwenye ratiba Leo Kuna mech ya Simba na Biashara United,au nmekosea kuangalia??

    Mwenye taarifa kamil antoe was was Ikiwezekana antajie na muda wa mech il njiandae
  16. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

    Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita. Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
  17. JamiiForums Tanzania GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

    Mtingisheni huyo huyo Rais wa TFF Wallace Karia ( ambaye nilikuwa namheshimu ) lakini sasa nimeanza Kumdharau ila siyo Sisi Werevu SC (Simba SC) kwani hakuna mtakachokipata Kwetu. Tunajua kuwa muda wowote GSM mnarejea kuendelea kuwa Wadhamini Wenza wa NBC Premier League baada ya Kupigiwa Magoti...
  18. JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya kupigwa 2-0, Simba watamba "RS Berkane wakija Dar watavuta pumzi ya moto"

    “Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi “Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai “Hatuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…