simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

    wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao. Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Timu ndiyo zinaingia uwanjani, muda wowote mchezo huu wa Ligi Kuu Bara utaanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. KIPINDI CHA KWANZA Mchezo umeanza. Dk 1: Mwamuzi anapuliza kipenga cha kuanza kwa mchezo. Dk 1: Simba wanaanza kwa kasi, wanafika langoni mwa Mbeya Kwanza, John Bocco...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna siri nyuma ya pazia kwa Mo Dewji, baada ya kui-unfollow Simba, sasa ai-follow tena

    Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram. Jana, pia Mo ambaye ni Rais wa Heshima wa Simba aka-unfollow page ya klabu hiyo akibakisha ya Simba Queens...
  4. JamiiForums Tanzania Mo Dewji na safari ya kuwa Mwanahisa halisi wa simba sports club

    Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
  6. JamiiForums Tanzania Dulla Makabila: Manara alinirubuni kuhamia Simba

    Mwanamuziki Dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi. Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla ameandika "Haji Sunday Manara Nashukuru Sana Kwa Kuniponza Umekuja Ukanichukua Vizuri Kwa Wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

    Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara. Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa...
  8. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  9. JamiiForums Tanzania Prisons wafanye nini kurudishiwa point yao walionyang'anywa na mwamuzi dhidi ya Simba?

    Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi. Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuyaona makali ya Simba inabidi iwe inacheza na Dar City kila siku

    Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo gani. Leo wanachezesha kikosi hiki kesho wanachezesha kikosi kingine kwa mfumo huo utapataje first...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

    Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi. Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
  12. JamiiForums Tanzania Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

    Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki wa Tanzania Prisons kanawa mpira kwenye eneo la hatari. FT: Simba SC 1-0 Tanzania Prisons 64'...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

    Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Mech ya leo ya Simba Vs Prison

    Mech hii ya mhim kabsa kwa wekundu wa Msimbaz inaanza saa ngap wadau ? Na je matumain ya kushnda yapo ??
  15. JamiiForums Tanzania Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

    Je, hii kauli ya Huyu muheshimiwa. Wana Msimbazi wenzangu mnaichukuliaje Binafsi naichukulia Kama kejeli coz anatufanya sisi Wana Simba kama watoto wadogo. Ni sawa na mtoto anovyomwambia baba ndege ileeee juu, then baba anasema "Ntakununuliaaa mwanangu" Wanamsimbazi kwa hili nyie mnaonaje...
  16. JamiiForums Tanzania Kabati la makombe Simba SC

    Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua 2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Wazee wa Club za Simba na Yanga

    Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k. Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili...
  18. JamiiForums Tanzania SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

    Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tweets za Mo Dewji kabla ya kuzifuta, inaonekana kuna tatizo Simba!

    Mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa Simba Sc usiku kupitia akaunti yake ya twitter alipost tweet hizi kisha akazifuta ndani ya muda mfupi. Je kwa tweets hizi, kuna amani kweli huko Simba?
  20. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…