simba

  1. JamiiForums Tanzania Chama kutambulishwa muda wowote Simba

    Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane! Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
  2. JamiiForums Tanzania Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  3. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

    Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
  4. T

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni uchawi unaotumiwa kupumbaza akili za vijana Watanzania

    Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa: Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda mwingi sana, ina wafuatiliaji wengi na wachangiaji wengi. Na kwa kulifahamu hilo ndio maana...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  6. JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  7. JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  8. JamiiForums Tanzania Mech ya Simba Vs Azam inaanza saa ngap ???

    Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
  9. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

    Heri ya mwaka mpya wanamichezo! Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wasioitakia mema Simba SC na ligi yetu

    Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc inapo litendea haki ligi letu na ukanda huu wa A. Mashariki. Kasumba hii ya miaka yote ya kutothamini...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hahahahah kama naiona Simba kweny hatua ya robo fainali

    Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas atasonga mbele
  13. JamiiForums Tanzania Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

    Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa? Kwa msiojua English msikilize Hitimana
  14. JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  15. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  18. JamiiForums Tanzania Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  19. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
  20. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Kagera imeahirishwa kwa sababu ya severe flu

    Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja 👇. Source- The citizen.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…