simba

  1. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea TFF kesho wanaweza kukosa mapato

    Unaikumbuka tarehe 25.6.2021 Kilichotokea katika sekta ya michezo Tanzania?! Hahaha acha nicheke kwanza na nishushie maji ya AFYA kidogo uku nikisubiri spare zangu nilizoagizwa pale kariakoo mtaa wa Lumumba kwa bwana GSM nikiendelea kusubiri MO TAMBI anazoandaa shemeji yenu. Anyways Mechi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga wanajipendekeza sana kwa Simba

    Yaani Yanga hii derby wanavyopigia kelele hadi kero wakati Simba wanachukulia kawaida tu kama mechi ya Mbeya Kwanza au Prison. Hamna mwanasimba anayewaza hii mechi maana ni kama mechi za kawaida tu,Ila hawa yanga wanavyotangaza unaona kabisa hawaamini kukutana na Simba wanaocheza kimataifa
  3. JamiiForums Tanzania Ricardo Momo: Simba anashinda kesho

    Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga! Muda wa mechi pia unaibeba Simba kuliko Yanga katika masuala ya nyota! Aliongeza Ricardo...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa uswahiba wa Simba na TFF ndio mwanzo wa mataji ya ligi kutua Yanga

    Wanasports salaam. Kwa zaid ya miaka 4 TFF na Simba wamekuwa maswahiba wakubwa hali iliyopelekea minong'ono upande wa Yanga kwamba TFF Soka anaibeba Simba. Baada ya ujio wa GSM mitaa ya Jangwana mambi mengi yamebadilika lakin bado Yanga hawajaweza kupata ubingwa mbele ya Simba. Msimu huu...
  5. JamiiForums Tanzania Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

    Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC. Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba. Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za...
  6. JamiiForums Tanzania Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

    Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu? Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi...
  8. JamiiForums Tanzania Kweli Simba babalao

    Unajua kwanini, Pitia threads karibia zote humu jukwaani, pitia michango ya mtu mmoja mmoja utagundua klabu inayozungumzwa kwa kwa zaidi ya 90% Ni Simba. Inazungumzwa kwa mazuri, ubaya,lawama, matusi ni simba. Hii inamaanisha ndiyo klabu inayofuatiliwa na umma wote wa watanzania. Watani zangu...
  9. JamiiForums Tanzania Simba tuvaeni Nembo za Gsm mapinduzi cup ila NBC pl hapana

    Epl Arsenal anadhaminiwa na fly Emirates ambao kwa kiwango kikubwa walishiriki kwenye management ya Arsenal hadi kuja na plan ya kujenga uwanja wa Emirates Lakini kwa saivi Fly Emirates wamekuja na Emirates FA cup ambapo timu zote shiriki zimekubali kuvaa hivyo ikiwemo man City inayomilikiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

    Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!! Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri. Matokeo yangu ni 1-1
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

    kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa hii ni taarifa ya 5 December 2021 hongereni simba sc.
  12. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

    Greetings! Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi...
  13. JamiiForums Tanzania Simba Gomeeni kuvaa Nembo ya GSM, Kama Yanga walivyogomea Twiga mwekundu

    Ujinga na tamaa za TFF ndio zinaleta huu mkanganyiko. Tayari GSM ameshaona kuwekeza Utopoloni ni hasara kwakuwa Utopolo inaishia humu humu, sasa wanajua Ili kupata Faida lazima uweke kitu Simba kwakuwa ndio inaitangaza Soka la Tanzania.. ukizingatia tayari Simba Ipo kwenye makundi ya Shirikisho...
  14. JamiiForums Tanzania Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

    Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
  15. JamiiForums Tanzania Simba chagueni moja, msituchanganye

    TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM? Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh? Sasa chagueni moja mjadala uishe...
  16. JamiiForums Tanzania Simba Sc tuliona habari za TFF na GSM kupitia mitandao

    Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
  17. JamiiForums Tanzania Simba & Yanga combined XI

    Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo 1. Aishi Manula 2. Shabani Djuma 3. Tshabalala 4. Mwanyeto 5. Job 6. Bangala 7. Moloko 8...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Simba imepata kocha mpya wa makipa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa. Maelezo zaidi yatakuja baadae
  19. JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  20. JamiiForums Tanzania CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

    Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa. Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…