simba

  1. JamiiForums Tanzania Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison, huyu mchezaji anakera sana

    Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho. Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na kusababisha goal.tena unamwona kabisa anamwambia Luis nenda kafunge...na Luis anamsikiliza anaachia shut...
  2. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking). Azam au...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  5. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam tunawasubiri Fainali. Simba hamna kitu ni maneno tu.

    Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao. Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP. Match ilikuwa nzuri lakini Ubora wa Azam umeamua matokeo ya match hii. Simba match ya Tarehe 3/07...
  6. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  7. JamiiForums Tanzania Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

    Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana. Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
  9. JamiiForums Tanzania Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

    Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi. Au muamue kupeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Kurudishiwa Viingilio vya Mechi Simba vs Yanga

    Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi. Nawezekana uliwekwa utraratibu mwingine na wengine hatujui, tuna haki ya kujua au kukumbushwa manake juzi kati...
  11. JamiiForums Tanzania Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

    Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali hatari hii. Mechi iliyopita kati ya Simba na Yanga ilishindikana kuchezeka baada ya uongozi wa klabu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga walipishwe kodi

    Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi kama biashara zingine zozote. Mpira ni biashara ndio maana wanaoingia kuwatazama wanalipa viingilio...
  13. JamiiForums Tanzania TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

    TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi. Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
  14. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza. Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania George Mketo, amesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
  15. JamiiForums Tanzania Mchambuzi wa EFM Mwanayanga SC Jemedari Said: Yanga SC iache Unafiki kuhusu Mechi yake na Simba SC tarehe 3 July, 2021

    " Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa watacheza huo Mchezo baada ya Kuahirishwa na Serikali iweje leo wanajitokeza Watu wengine pembeni na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

    Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana ' Kutudhalilisha ' Simba SC usije Kunilaumu. Kichwa cha Habari cha 'Mwanaspoti' la Leo Jumatano tarehe 16...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC msipokuwa makini na hii 'Mind Game' ya Yanga SC kuwa hawatoleta Timu 03 Julai, 2021 tunaenda kuumbuka kwa kufungwa nao

    Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi yetu nao tarehe 3 July, 2021 kwani tukienda nayo na tukaiamini na Kuwaamini Yanga SC naona Simba SC...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

    Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…