simba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  2. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

    Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni. Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo. Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mmetubeba Simba

    Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu. Tuendeleee Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Simba na Yanga ndio zinaharibu ukuaji wa Soka nchini Tanzania

    Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa. Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaombeza Lissu jifunzeni toka kwa timu ya Simba

    Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana. Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
  6. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
  7. JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmeshindwa na hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa...simple!!

    Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
  12. JamiiForums Tanzania Hili la Simba Sc kujifanyia vurugu ili wasifanye mazoezi kukwepa goli nane, TFF wasiliache lipite hivihivi

    Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate...
  13. JamiiForums Tanzania Simba chagueni uwanja mnaoutaka Yanga tuwafuate.

    Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao. Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua. Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

    Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza. Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka Timu ngeni...
  16. JamiiForums Tanzania Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ya Simba niliyatarajia toka jana kupitia Ahmed Ally

    Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake kutokuingia uwanjani. Hii ni baada ya kua na muonekano usio changamfu, na hata baada ya kuulizwa swali na...
  18. JamiiForums Tanzania Simba ina haki ya kusikilizwa lakini sio kususa mchezo

    Yaani mmekuwa na muda wa takribani wiki moja ya kufanya mazoezi na maandalizi yenu yote, mmetumia gharama kubwa sana halafu mnasusa mechi kisa kunyimwa kufanya mazoezi usiku? Simba mpo sahihi kusikilizwa, lakini si haileti tija kususa mchezo. Kususa mchezo ni sawa na kujichukulia sheria...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ziache ubinafsi kwa maslahi ya taifa

    Ndugu wana JF, Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa. Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…