simbasc

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wana Simba Nina zawadi yenu ya wimbo huu mpya

    Wimbo huu nimeufanya kwa kushiriaka na AI, nilipata wazo, nikatunga mashairi machache. Nilipopata ugumu nikashauriana na AI tukajadili tukapata mashairi. Nikafanya prodction ya Beat kama sample, nikashirikisha AI kuboresha zaidi kwa maelekezo yangu nini nataka kiweje, nataka sound zipi nk...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kitu kikubwa kilichotukosesha ushindi Simba ni ubinafsi

    sijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga matokeo yake inakuja ile kauli ya "vijana wamepamba hatuna cha...
  3. JamiiForums Tanzania Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo Simba SC inapaswa Kujifunza Kutoka Yanga SC

    Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na ubora wa Yanga SC hivi sasa:- 1. Kuwa na uongozi thabiti na waaminifu ambao unaweza kuendesha timu...
  5. JamiiForums Tanzania CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

    Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika. Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania. Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaotaka kwenda zambia kuishangilia Simvba SC pitia hapa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…