Kutoka Uvinza Kigoma, babu radi ameangalia dakika 90 za mchezo na mambo yakawa hivi.
Y= Yanga
A= Ameiua
S= Simba
Matokeo kamili ni
6-0
Prince Dube - 3
Aziz Ki - 1
Max Nzingeli 1
Baka - 1 (goli la kichwa)
Goli moja la Dube litaleta malalamiko.
Ushauri:
Magoli yanaweza kupunguzwa endapo kocha...
Nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano ya huyu muha akizungumzia kufungwa kwa Simba na Yanga kila mara.
Ninaanza kuwa na mtizamo tofauti juu ya azma yake kwa Simba. Huyu mtu anahitaji kuwa mwenyekiti na hivyo hata mkifanyaje, ataendelea kushirikiana na adui Simba ifungwe ili mumtimue mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.