Alphonce Felix Simbu (born 14 February 1992) is a Tanzanian long distance runner who specialises in the marathon. He competed in the marathon event at the 2015 World Championships in Athletics in Beijing, China. He finished 12th with a time of 2:16:58.He competed for Tanzania at the 2016 Summer Olympics in the men's marathon. He finished 5th with a time of 2:11.15. He was the flag bearer for Tanzania during the closing ceremony.He won the 14th edition of the Mumbai Marathon on 15 January 2017. The same year he won the bronze medal at the 2017 World Athletics Championships Marathon with a time of 2:09:51.
In 2019, he competed in the men's marathon at the 2019 World Athletics Championships held in Doha, Qatar. He finished in 16th place.In June 2021, he qualified to represent Tanzania at the 2020 Summer Olympics where he secured 7th place with a time of 2:11:35.
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza kusikitishwa na hatua ya kumuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kwa madai ya usaliti.
Rais wa RT, Silas Isangi, akizungumza na TBC Digital jijini Mwanza, amesema sakata...
Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon.
Huyu jamaa siyo mara ya kwanza kuleta vimbweka
C.c GENTAMYCINE
Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa...
Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania walioenda kushiriki katika michezo ya Olimpiki Jijini Parisi, Ufaransa.
Imedaiwa Mkuu wa Msafara huo...
Mwanariadha Alphonce Simbu alipotua Nchini akitokea Ufaransa alihojiwa na hii ni sehemu ya maelezo yake kuhusu sababu za yeye kutofanya vizuri na kushinda Medali kwenye Michezo ya Olimpiki 2024 Jijini Paris:
"Kwanza kabisa tulitakiwa tujijue njia ambazo tutatumia kukimbia hata miezi miwili...
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ashika nafasi ya Pili kwa muda wa Saa mbili na Dakika tano na sekunde Thelathini na Tisa (2:05:39) na kuwa muda wake mzuri (PB) yaani (Personal Best).
Huku Mwanariadha Jackline Sakilu akishika nafasi ya Nane kwa muda wa saa mbili na...
"Leo nimegundua kuwa kumbe Mazoezi niliyoyafanya hayakuwa sahihi kwangu na nilipofika Kilomita ya 30; kuelekea ya 35 sikuona haja ya kuendelea hadi Kilomita 42 tulizokuwa tunakimbia, hivyo naomba radhi na asitafutwe mchawi, nitajitahidi katika mashindano yajayo," amesema Mwanariadha aliyejivunja...
Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano.
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary ; kuanzia 19 -27 Agosti 2023.
Simbu anatarajia...
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI
Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha Ndugu Gabriel Geay katika viwanja vya Bunge ambaye hivi...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania.
Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua
Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat katika mchuano wa Marathon Kwa wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika leo jijini...
Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
Wanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, Gabriel Gerald Geay na Emanuel Giniki Gisamoda wanatarajia kuhudhuria kwenye kikao cha Uwasilishwaji wa makadirio ya Bajeti ya mapato na matumizi ya wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bungeni jijini dodoma Jumatatu ya Tarehe 6 Juni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.