Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a time, naona Hii pia inaipa simu yangu efficiency fulani
Simu yangu ina Line 6 ambazo ni Esim almost...
Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line..
Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
Wajameni najua wengine wataleta dhihaka hapa ila nahitaji masaada kwa ambaye ameweza kutumia laini ya Safaricom Kenya kwa minajili ya internet , inafanyaje , charges zake?
"Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.