Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992 (Pichani), Simon Amon Mwanguku kilichotokea leo Alfajiri tarehe 28 Julai, 2024 katika Hospitali Kuu ya Jeshi...