Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt . Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa na tukio linalodaiwa kufanywa na mkuu wa wilaya ya Songwe, Simon Simalenga la kumpiga na kumjeruhi binti mwenye umri wa miaka 20 Florenencia Mjenda, mkazi wa kata ya Mbangalo wilayani...