Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande wa vipimo.
Wakaniambia wao hawajua na hawana specification, hivyo tuchukue futi tupime, hatukuweza...