simu 2000

Chirixalus simus, commonly known as Assam Asian frog, Assam tree frog, Annandale's tree frog, and Annandale's pigmy tree frog, is a species of frog in the family Rhacophoridae found in Bangladesh and north-eastern India (in Assam, Mizoram, and West Bengal states). Among other places, it has been recorded from Rajpur in the South 24 Parganas district and in the Darrang district of Assam.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

    Dar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya. Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali...
  2. Mshana Jr

    Yaliyoko Simu2000 yanaumiza na kuhuzunisha sana

    Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote zinazohudumia kutoka ndani ya kituo kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji mpya anayetaka kuweka karakana ya mabasi...
  3. KikulachoChako

    Stendi Simu 2000 yafungwa rasmi kupisha ujenzi karakana ya mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu 2000 kimefungwa leo, Septemba 14, 2024, kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu kama mwendokasi. Karakana hiyo ni sehemu ya mradi wa awamu ya nne wa mabasi haya. Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda...
  4. Replica

    Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila. Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara...
  5. Girland

    Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  6. Roving Journalist

    RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe

    RC CHALAMILA ATIMIZA AHADI YA KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SIM 2000 -Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo. -Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo -Asisitiza bado serikali itaendelea kujali na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo Mkuu wa...
  7. ngara23

    DC wa Ubungo, Hassan Bomboko afukuzwa na wamachinga sakata la DART kupewa eneo Simu2000 kujenga karakana

    Sijui ni Kwa maksudi au ndo ulivyo kifikra, unamuangusha Rais wetu Samia aliyekuamini ona Sasa unamchonganisha na wananchi wake. Juzi tu ulienda kukamata watu ukisingizia ni makahaba na umefunguliwa kesi mahakama kudaiwa billion 36. Leo unawahangaisha machinga wenye maisha magumu ukitaka...
  8. Heparin

    Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao. Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao...
  9. S

    Kama ni kweli stendi ya Simu 2000 kubadilishwa matumizi na kuwa karakana ya DART ni kuwakosea wana Ubungo

    Hizi habari za kusikitisha na kuumiza sana kwa wakazi Ubungo, Nilivyosikia ni kuwa Stand ya Simu2000 inataka kubadilishwa matumizi na kuwa KARAKANA YA DART, Kama habari hii ni yaukweli basi niswala lakusikitisha na kuwakosea wanaubungo. Kubadilisha Matumizi ya stand hii na Soko ni muendelezo...
Back
Top Bottom