Kituo cha Daladala Simu 2000 kimefungwa leo, Septemba 14, 2024, kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu kama mwendokasi.
Karakana hiyo ni sehemu ya mradi wa awamu ya nne wa mabasi haya. Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda...