simu aina ya oppo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simu yangu aina ya Oppo imezima ghafla

    Habar hii simu haiwaki imezima gafla nimepeleka kwa kila aina ya fundi wamebadilisha kioo imeshindikana kuwaka ikiweka chaji inapeleka ukiwasha inatoa mlio wa kuwaka ila kioo hakiwaki. Msaada.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…