Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno...