Kama head inavosoma.....
Binafsi juzi kuna mmama flani wa so Mzee ni kama mshangazi alikuja ofisini kwangu akihitaji nimrekebishie swala fulani.
Sasa swala lenyewe lilikuwa ni app ya mesej ilijiupdate ikaleta features ambazo Maza alikuwa hazipendi sasa kaniachia cm yeye kakaa nje...