Samsung A13 dark blue color
Ni 64 GB, ram 4 gb.
Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi.
Simu ipo Dar
Imetumika miezi 11.
Unapewa charger, box, risiti.
Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake.
Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box...