Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama Kariakoo au Makumbusho, na maeneo mengine.
Hivi karibuni, kupitia jukwaa hili, kumeibuka mjadala mkubwa...