simu used

Simu Liu ( SEE-moo LEE-yoo; Chinese: 刘思慕; born 19 April 1989) is a Canadian actor. He is known for portraying Shang-Chi in the 2021 Marvel Cinematic Universe film Shang-Chi and the Legend of the Ten Rings. He also played Jung Kim in the CBC Television sitcom Kim's Convenience and a Ken in Barbie. He received nominations at the ACTRA Awards and Canadian Screen Awards for his work in Blood and Water.In 2022, Liu authored the memoir We Were Dreamers, and was named one of Time's 100 most influential people in the world, in the section "Artists."

View More On Wikipedia.org
  1. Mambo 10 muhimu ya kufuata kabla hujanunua simu used kutoka nje (Dubai) kwenye maduka ya Tanzania

    Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia . Mbaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje… Sisi kama SIMU KIDIGITALI tunauza sana hizi simu hazina shida yeyote , ila unahitaji kuzingatia mambo yafuatayo...
  2. Je Biashara ya Simu used inalipa?

    Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country? Faida Yake Ipoje? Na Changamoto Zake? Ahsante Sana!
  3. Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Habari za Leo Wana jamvi. Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu. Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai. Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa Naombeni mawazo yenu
  4. Muhimu: Usinunue Simu Used / Refubrished bila kusoma uzi huu

    Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama Kariakoo au Makumbusho, na maeneo mengine. Hivi karibuni, kupitia jukwaa hili, kumeibuka mjadala mkubwa...
  5. M

    Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  6. Biashara ya simu used

    Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara. Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
  7. Simu used from Dubai 🔥🔥🔥

    ᴅᴀꜱ ᴍᴏʙɪʟᴇ ᴇꜱꜱᴇɴᴛɪᴀʟs ᴍᴀᴢᴏᴇᴢɪ ꜱᴏꜰᴛ 📞0622962627 ɪᴘʜᴏɴᴇ ʙʀᴀɴᴅ —-ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ ᴘʀɪᴄᴇ 450,000/=✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ 400,000 ɴᴏ ꜰᴀᴄᴇ 💔✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴅᴍ ʙʜ 100ᴘʀɪᴄᴇ 650,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx ɢʙ 256 ᴅᴍ ʙʜ 100 ᴘʀɪᴄᴇ 950,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx...
  8. Milioni 8 yako itakupa milioni 20 kwa mwaka mmoja

    Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !! Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye karibia kila baada ya dakika 5 lazima nizame kwenye deep thinking kuhusu kitu chochote (positive...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…