simu ya wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

    Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
  2. Shooter Again

    Wazee msiokote simu ni hatari, unaweza kujiingiza kwenye matatizo makubwa

    Wazee kuna jamaa yetu huku mtaani kaokota simu na amekamatwa juzi. Mwenye simu kasema aliporwa million 250 kwenye begi lililokuwa na simu Aisee sijui itakuaje hapo wakuu maana polisi wamemshikilia hawautaki hata awekewe dhamana. Pia soma - Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa
Back
Top Bottom