simu

  1. Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

    Voda Voda Voda!! Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani? Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa. Kila ikifika saa Moja jioni. Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda. Nawahama!!! Vodacom Tanzania
  2. N

    Nauza simusamsung s21 + 5gram 8 gbstorage 256bei 450,000 maongezi yapo 4 nipo darhaina kipengele labda aje nacho mteja

    Nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 450,000 INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
  3. Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  4. Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  5. Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  6. Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  7. Kuelewa Matumizi / Ugavi wa Umeme ni rahisi ukifananisha na Bandwith (Matumizi ya Simu) OffPeak na Peak Times.

    Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
  8. R

    Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  9. Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
  10. sms za “Sitapeliki” kwenye inbox za simu zetu zinatosha sasa

    Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu. Kama ni elimu naamini tushaipata ya kutosha juu ya hao matapeli
  11. Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  12. Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

    Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha, Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki...
  13. Iphone 7 plain inauzwa

    Iphone 7 plain yenye storage ya 32GB battery health ya 100% iko in excellent conditions pia..bei ni 180k fixed! na napatikana Dodoma mjini, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, karibuni sana
  14. Tumehifadhi namba za simu za watu waliofanikiwa tukidhani ni msaada kwetu

    MHADHARA (100)✍️ Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia. Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
  15. Haifai kuwa mtu wa lawama kila unapopiga au kupigiwa simu

    Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa. Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt. Hiyo ni tabia mbaya na roho mbaya. Haifai. Kuwa na mazungumzo ya shangwe utaona watu wanavyokupigia na...
  16. Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
  17. Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  18. H

    Tabia ya mtu kupokea na kuongea na simu wakati anakula chakula inakera na siyo ustaarabu

    Habarini, Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu. Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani??? Ebu...
  19. D

    Niuondoeje mstari huu kwenye simu yangu?

    Niu
  20. K

    Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

    Wakuu Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…