simulizi fupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi ya kijasusi: Nafsi zilizotelekezwa

    NINI SIRI YA NAFSI ZILIZO TELEKEZWA? Inahusu nini, inamhusu nani, kipi kipo nyuma yake? Ungana nami kwenye mtiririko huu uweze kuelewa NAFSI ZILIZO TELEKEZWA inahusu nini. Mwaka 1991, ni mwaka ambao umoja wa nchi za Kisovieti ulidondoka baada ya kushindwa kwenye vita baridi dhidi ya watu wa...
  2. Simulizi: Mpenzi wangu Amina

    Simulizi: Mpenzi wangu Amina.(01) Mwandishi: Salum Kalase Sehemu ya kwanza. Maisha ni kuchagua na mimi nilichagua kumpenda Amina katika maisha yangu yote bila kujali ni nini kitakachotokea katikati yetu. Ngoja kwanza, kwa majina naitwa Gift Mathayo Lugwisha ni mtoto wa pekee nyumbani kwetu...
  3. SIMULIZI FUPI: Sogesa, Mkasa wa RC Kleruu na Mnyalu Mwamwindi wa Iringa

    Ni Krisimasi ya mwaka 1971. Mkulima tajiri wa Iringa akiitwa Said Mwamwindi anamuua kwa risasi Mkuu wa Mkoa RC wa Iringa na Katibu wa Chama Dkt. Wilbert Kleruu. Kleruu alikuwamo miongoni mwa watawala wasomi wa wakati huo. Alipendwa na Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa vile...
  4. Simulizi fupi kuhusu mafanikio

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…