simumpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambo 10 muhimu ya kufuata kabla hujanunua simu used kutoka nje (Dubai) kwenye maduka ya Tanzania

    Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia . Mbaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje… Sisi kama SIMU KIDIGITALI tunauza sana hizi simu hazina shida yeyote , ila unahitaji kuzingatia mambo yafuatayo...
  2. Usiyoyajua kuhusu Biashara ya Simu za Kariakoo, ukijua haya utakuwa mjanja…

    Ugomvi kati ya wateja na wauzaji wa simu, hasa hizi used za Dubai au refurbished, ni jambo linalotokea mara nyingi. Mara nyingi, chanzo kikuu ni pale simu inapoharibika, na mteja anataka kuirejesha ili abadilishiwe. Kuna wakati muuzaji anakuwa sahihi, na kuna wakati mteja anakuwa sahihi. Je, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…