Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Habari,
Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa.
Mimi binafsi napinga na ninakataa wazo hili kwa sababu zifuatazo;
1.Ni muziki unaotumia lugha chafu na unatoa...
Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.
Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani??
#32
#26
#45
n.k
TAHADHARI:UKITAKA
KUIELEWA NA KUIPENDA SINGELI SIKILIZA KATIKATI YA MISTARI...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.
Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo:
Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
Thread hii ni maalumu ya kutambulisha muziki huu ambao juhudi za kuukwamisha zimeshindikana na sasa unachukua sifa duniani kote.
Katika thread hii tunaweza kupakia(upload ) na kusikiliza singeli za ndani ndani uswahilini ambazo ukisikiliza kwa makini utapata ujumbe murua na muhimu ndani yake...
Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe.
Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa?
Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde.
Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!
- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo...
Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU .
Msaga sumu: Naomba uniruhusu kupita snura usinibanie mie,
naomba uniruhusu kupita snura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.