Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi.
Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa mbunge wa sasa, Elibariki Kingu, ametekeleza vyema wajibu wake kama mwakilishi wa wananchi wa jimbo...