singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema: Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
  2. Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  3. D

    Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

    Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
  4. K

    FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

    Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani. Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS. Mpira unaendelea..
  5. S

    Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

    TAARIFA KWA UMMA Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. --- PRESS RELEASE RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
  6. Singida: Mwenyekiti UWT Ashauri Vigodoro kupigwa Marufuku

    HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya...
  7. D

    Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku. Email :integrity@fifa.org Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
  8. H

    DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu. Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
  9. Ndugu Simba SC au Singida FG, tutachezesha kikosi kingine jumapili na haturudii hiki tena

    Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje. Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;- Metacha/Mshery Kibwana Nickson Kibabage Job Gift fredy Jonas Mkude Mauya Sureboy Pacome Aziz ki Nkane Hafiz konkoni Mzize Watakaojirudia...
  10. FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  11. K

    Chama, Kanoute kuikosa Singida Fountain Gate Tanga

    KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama, ataukosa mchezo wa ufunguzi wa michuano mifupi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, kutokana na kufungiwa michezo mitatu iliyo chini ya shirikisho la soka nchini TFF. Chama alifungiwa kutokana na kuwa na adhabu hiyo...
  12. DOKEZO Maji huku kwetu Mungumaji, Singida ni anasa badala ya Huduma

    Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
  13. Nampongeza mmiliki Singida Fountain Gate FC kwa basi jipya la timu

    Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao. Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani. Sasa msimu...
  14. Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  15. Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

    Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa...
  16. Kuna Mkutano Julai 22, 2023 unaandaliwa na UWT Mkoa wa Arusha kushirikisha Manyara, Kilimanjaro na Singida ukihusishwa na DP World

    Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
  17. B

    SINGIDA: Asakwa kwa kutupa kichanga chooni

    JESHI la Polisi mkoani Singida, linamsaka mwanamke mmoja ambaye bado hajatambulika kwa majina na anwani ya makazi yake kwa kumtupa mtoto mchanga kwenye tundu la choo. Mtoto huyo baada ya kuopolewa kwenye tundu la choo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida ambapo bado...
  18. B

    SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
  19. Onyango aikacha Simba. Akimbilia Singida

    Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate. Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi...
  20. Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

    Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…